Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO yaleta nuru kwa mkulima mwenye umri wa miaka 63 Tanzania baada ya mafunzo

FAO yaleta nuru kwa mkulima mwenye umri wa miaka 63 Tanzania baada ya mafunzo

Pakua

Nchini Tanzania mkulima mmoja mwenye umri wa miaka 63 kwa mara ya kwanza amenufaika na shughuli za kilimo baada ya kupatiwa mafunzo yaliyoratibiwa na shirika la chakula na kilimo FAO nchini  humo. 

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'40"
Photo Credit
IAEA