Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanamke mvenezuela aweka maisha yake rehani ili kunusuru wanae wanne

Mwanamke mvenezuela aweka maisha yake rehani ili kunusuru wanae wanne

Pakua

Mamia ya maelfu ya raia wa Venezuela wanaendelea kuweka maisha yao rehani na kufanya safari za hatari ili kukwepa hali ngumu ya maisha nchini mwao na kukimbilia nchini jirani ambako shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,  UNHCR linashirikiana na nchi mwenyeji kuwasaidia.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
©UNHCR/Vincent Tremeau