06 Septemba 2019

6 Septemba 2019

Mashirika ya UN na wadau waendelea na harakati za kutoa msaada visiwa vya Bahama, waliofariki wafikia 30. Mwanamke mvenezuela aweka rehani maisha yake ili kunusuru wanae wanne. Mafunzo ya FAO  yaleta nuru kwa mkulima mwenye umri wa miaka 63 Tanzania. Na ni Ijumaa  kama kawaida ni mada kwa kina leo tunamsikiliza Francis Finias Majura, daktari kijana anayejishughulisha na ufanikishaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs nchini Tanzania. 

Audio Credit:
Arnold Kayanda
Audio Duration:
9'37"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud