Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Katika juhudi za kufikisha taarifa sahihi WHO na Facebook waungana

Katika juhudi za kufikisha taarifa sahihi WHO na Facebook waungana

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limeingia ubia na kampuni ya Facebook ili kusaidia kusambaza taarifa sahihi kuhusu chanjo.

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Assumpta Massoi
Audio Duration
2'6"
Photo Credit
UNICEF/UN066747/Rich