Neno la Wiki- "Msutu"

30 Agosti 2019
Leo katika kujifunza Kiswahili mchambuzi wetu kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania , BAKITA  Onni Sigalla Mhariri mwandamizi anafafanua maana ya neno "MSUTU"
Audio Credit:
Onni Sigalla
Audio Duration:
1'1"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud