Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa manne yameshindwa kutokomeza surua Ulaya-Ripoti

Mataifa manne yameshindwa kutokomeza surua Ulaya-Ripoti

Pakua

Barani Ulaya ugonjwa wa Surua umesalia kuwa tatizo ambapo takwimu mpya zinaonesha kupungua kwa idadi ya mataifa yaliyokuwa yametokomeza ugonjwa huo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Audio Duration
2'20"
Photo Credit
UNICEF/UN066747/Rich