Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mashirika ya Umoja wa Mataifa na AU wameibua mpango wa kuimarisha kilimo kwa vijana

Mashirika ya Umoja wa Mataifa na AU wameibua mpango wa kuimarisha kilimo kwa vijana

Pakua

Mkutano wa 7 wa Tokyo kwa ajili ya maendeleo ya Afrika, TICADVII ukiendelea huko Yokohama nchini Japan, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika, AU pamoja na wadau wamezindua mpago wa kuchagiza ajira ya vijana kwenye sekta ya kilimo cha biashara barani humo. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Priscilla Lecomte
Audio Duration
1'49"
Photo Credit
MONUSCO/Michael Ali