20 Agosti 2019

29 Agosti 2019

Jaridani Agosti 29, 2019 na Grace Kaneiya

Habari ikiwemo-

Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na AU waibuka na mpango wa vijana kusongesha kilimo Afrika

Uingereza miongoni mwa mataifa manne Ulaya yaliyoshindwa kutokomeza Surua- Ripoti

Mafunzo ya ushoni yaliyotolewa na walinda amani wa Tanzania, DRC yaleta nuru kwa wanufaika

Makala tutasikia kutoka kwa mwalimu wa uchumi kutoka Kenya akiwafundisha wanafunzi maswala ya Umoja wa Mataifa huko Shanghai, China.

Na mashinani leo tunaangazia suala la hedhi na mikakati iliyowekwa mashuleni hususan nchini Rwanda

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud