Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatutaki kupoteza maisha zaidi Sudan Kusini-UNMAS

Hatutaki kupoteza maisha zaidi Sudan Kusini-UNMAS

Pakua

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusiska na uelimishaji na uteguaji wa mabomu ya ardhini na vifaa vingine vya mlipuko UNMAS imeteketeza rundo la mabomu ya kutegwa ardhini yaliyogundulika kilomita 40 nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. 

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
UNMAS