Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Muongoza ulipewa jina Tuma Fedha na Wekeza Kenya kusaidi utumaji fedha

Muongoza ulipewa jina Tuma Fedha na Wekeza Kenya kusaidi utumaji fedha

Pakua

Shirika la uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM na wadau wake wanatekeleza mwongozo wenye lengo la kuwawezesa raia wa Kenya wanaoishi ughaibuni kutuma fedha nyumbani kwa njia iliyo salama zaidi na yenye tija. 

Audio Credit
Arnold Kayanda/Assumpta Massoi
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
UN