Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutokomeza malaria kunawezekana kinachohitajika ni mbinu mpya-WHO

Kutokomeza malaria kunawezekana kinachohitajika ni mbinu mpya-WHO

Pakua

Utafiti zaidi na maendeleo katika vifaa vya kuzuia malaria na tiba ni muhimu ili kutokomeza malaria katika siku zijazo limesema shirika la afya ulimwenguni, WHO leo Ijumaa kupitia ripoti yake iliyozinduliwa Geneva Uswisi. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Jason Nyakundi
Audio Duration
2'9"
Photo Credit
PAHO/WHO Photo