Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Elimu ya afya ya uzazi inachangia vipi vijana kutofikia uwezo wao kikamilifu?

Elimu ya afya ya uzazi inachangia vipi vijana kutofikia uwezo wao kikamilifu?

Pakua

Vijana katika jamii wanatajwa kuwa ni idadi kubwa ya watu katika jamii lakini changamoto zinazowakabili ni nyingi huku likiwa ni kundi ambalo kwa kawaida wanahisi kutoeleweka katika jamii licha ya mahitaji yao maalum. Je nini kinahusika? Na kwanini? Arnold Kayanda amengazia zaidi Tanzania na ameaandaa ripoti ifuatayo.

 

Audio Credit
Grace Kaneiya/Arnold Kayanda/Stella Vuzo
Audio Duration
5'35"
Photo Credit
Diana Nambatya/Photoshare