Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wengi waliojaribu kutoroka waliishia kukamatwa, kukatwa masikio, matiti au kukatwa miguu na kuachwa wafe vichakani Muathirika wa ugaidi

Wengi waliojaribu kutoroka waliishia kukamatwa, kukatwa masikio, matiti au kukatwa miguu na kuachwa wafe vichakani Muathirika wa ugaidi

Pakua

Kuelekea siku ya kimataifa ya kumbukizi ya manusura wa ugaidi, ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kukabiliana na ugaidi UNOCT imechukua hatua ya kupaza sauti za manusura hao kutoka maeneo mbalimbali duniani akiwemo mwanamke mmoja raia wa Cameroon ambaye anasema alilazimika kuwavisha mavazi ya kike watoto wake wa kiume ili wasichukuliwe na magaidi wa Boko Haram.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Arnold Kayanda
Audio Duration
2'
Photo Credit
UN Photo/Eskinder Debebe)