16 Agosti 2019

16 Agosti 2019

Katija Jarida letu la kina la habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-UNICEF yataka hatua zichukuliwe haraka ili kukiokoa kizazi cha Rohingya katika suala la elimu na mustakabali wa maisha yao

- Huko Ituri nchini Congo DRC, hali bado ni tete miezi miwli baada ya kuzuka machafuko watu kiendelea kufungasha virago

-Burkina Fasso mamilioni ya watu wahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu ikiwemo chakula lasema shirika la WFP

-Mada yetu kwa kina inatupeleka Kenya Dianah Kamande alipitia madhila ya ukatili wa kijinsia na kuachwa mjane sasa ameanzisha shirika kuwasaidia wenzie waliopitia hali kama yake

-Na katika kiswahili leo tuko BAKIZA Zanzibar utasikia matumizi ya neno WAME katika sentesi.

Audio Credit:
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration:
11'44"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud