Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukiukumbatia ukimbizi waweza kukufungulia malango mpya:jenipher

Ukiukumbatia ukimbizi waweza kukufungulia malango mpya:jenipher

Pakua

Hali ya kuwa mkimbizi kwa sababu yoyote ile ni changamoto kubwa hasa kwa kutojua mustakabali wako na endapo ulikoikimbia kutatengamaa. Mkimbizi Jenipher Mutamba toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambaye sasa anaishi kwenye makazi ya wakimbizi ya Oruchinga nchini Uganda anasema wakati mwingine ukimbizi hufungua mlango wa baraka katika maisha. John Kibego na taarifa zaidi

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
2'11"
Photo Credit
WFP