15 Agosti 2019

15 Agosti 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

- Kuokoa maisha ya watoto waliokwama kwenye meli huko Mediterranea kupewe kipaumbele badala ya siasa limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF

-Mwanamke fundi stadi wa magari  kutoka Kenya atoa changamoto kwa wasichana na wanawake kufanya kazi ambazo zimezoeleka kuwa ni za“wanaume”

-Ukimbizi waweza kuwa baraka kwako na kwa wengine asema Mkimbizi Jenipher alifiungasha virago na familia yake miaka 7 iliyopita hudo DRC na sasa anaishi Uganda

-Makala yetu leo inahitimisha sehemu ya pili kuhusu elimu ya awali na changamoto zake nchini Tanzania

Na mashinani utamsikia mkimbizi mjasiriamali kambini Kakuma Kenya anavyomudu maisha

Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'58"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud