Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa mitindo wa Quid ni mwokozi kwa wanawake na mazingira vile vile

Mradi wa mitindo wa Quid ni mwokozi kwa wanawake na mazingira vile vile

Pakua

Mradi wa Quid unaoendeshwa na wanawake mjini Verona Italia katika sekta ya fasheni mbali ya kushughulikia changamoto za mabadiliko ya tabia nchi pia umekuwa neema kubwa kwa kuwapa ajira wanawake wenye Maisha duni. 

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Arnold Kayanda
Audio Duration
2'3"
Photo Credit
UN News/Fatima E. Mendez