Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa UN-Habitat wahakikishia wana kijiji umiliki wa ardhi kwa vizazi vijavyo Uganda

Mradi wa UN-Habitat wahakikishia wana kijiji umiliki wa ardhi kwa vizazi vijavyo Uganda

Pakua

Uganda ni moja ya nchi zilizo na idadi kubwa ya watu na idadi hiyo inaongezeka kila uchao. Kwa sasa nchi hiyo ina takriban watu milioni 40 na zaidi ya asilimia 75 wanaishi vijijini na asilimia 80 ya watu hao wako katika mashamba ya kurithi ambayo mengi hazijaandikishwa, kupimwa  wala kuingizwa katika ramani.

Audio Duration
2'13"
Photo Credit
FAO/Alessandro Stelzer