09 Agosti 2019

9 Agosti 2019

Hii leo Ijumaa mada kwa kina kama  kawaida inatanguliwa na habari kwa ufupi tukianzia siku ya watu wa asili duniani ikimulika lugha za asili, tunakwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako Ebola  bado ni tishio watu 86 waambukizwa Ebola kila wiki, kisha tunamulika warohingya huyo Bangladesh ambao kwa mara ya kwanza wamepatiwa vitambulisho. MAda kwa kina leo ni lugha ya asili, umuhimu wake na makabila ambayo yana hofu ya kutoweka kwa lugha yao ya asili huku mengine yakijivunia. Karibu na mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
12'19"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud