Skip to main content

Mradi wa UNFPA na seriklai Ethiopia ni muarubaini wa viof vya mama na mtoto wakati wa kujifunuga

Mradi wa UNFPA na seriklai Ethiopia ni muarubaini wa viof vya mama na mtoto wakati wa kujifunuga

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu, UNFP nchini Ethiopia kwa ushirikiano na serikali wameanzisha nyumba maalum za wajawazito ambapowanasubiria hadi pale wanapojifungua ili kupata huduma katika kituo cha hospitali hizo na kupunguza idadi ya vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Grace Kaneiya
Audio Duration
2'21"