Uhakika wa chakula uko hatarini kutokana na atahri za mabadiliko ya tabianchi-IPCC
Pakua
Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo iko katika shinikizo kubwa kutoka kwa binadamu na mabadiliko ya tabia nchi , lakini pia inaweza kuwa sehemu ya suluhu ya changamoto hizo imesema ripoti ya jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi IPCC.
Audio Credit
Assumpta Massoi/ Arnold Kayanda
Audio Duration
3'