7 Agosti 2019
Nchini Kenya zaidi ya watoto 600 ambao walikuwa hawana utaifa kwa sababu wazazi wao walikuwa ni kabila la washona kutoka Zimbabwe, sasa wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa na hivyo kuwafungulia njia ya kupata huduma za msingi kama watoto wengine. Arnold Kayanda na taarifa zaidi.
Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
1'59"