Nyanya mwenye umri wa miaka 82 gumzo kwa kufunga muziki wa magari Kenya

6 Agosti 2019

Cecilia Wangari, nyanya wa miaka 82 amepata umaarufu mkubwa mjini Nairobi, na kujizolea sifa za kuwa mama wa umri mkubwa zaidi ambaye ni fundi stadi wa redio za magari. Kutokana ya usumbufu wa biashara aliyokuwa akiiendesha kuanzia miaka 80 hadi 92, Cecilia aliamua kujifunza kukarabatoi  na kuweka upya redio za magari, kazi ambazo amefanya hadi leo. Mwandihsi wetu wa Nairobi Jason Nyakundi alimtembelea katika eneo lake la kazi akitaka kujua ni kipi kimempa motisha hadi wakati huu licha ya umri wake mkubwa.

Audio Credit:
Arnold Kayanda/Jason Nyakundi
Audio Duration:
5'38"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud