Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuweka mazingira kazini ya kuwezesha kina mama kunyonyesha ni wajibu wa kila mwajiri:UN

Kuweka mazingira kazini ya kuwezesha kina mama kunyonyesha ni wajibu wa kila mwajiri:UN

Pakua

Umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto katika miezi sita ya kwanza ya maisha yake ni jambo ambalo linaendelea kusisitizwa kwa kutambua kwamba maziwa hayo sio tu ni lishe kamili kwa mtoto lakini yanasaidia kujenga afya ya mama na mtoto.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
2'32"
Photo Credit
UN