Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tume ya uchunguzi ya UN yataka jeshi Myanmar liwekewe vikwazo

Tume ya uchunguzi ya UN yataka jeshi Myanmar liwekewe vikwazo

Pakua

Tume huru ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa nchini Myanmar imeitaka jumuiya ya kimataifa kukata uhusiano na jeshi la Myanmar na mtandao mkubwa wa makampuni linayoyathibiti na kuyategemea na kuliwekea vikwazio vikiemo vya silaha.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
3'2"
Photo Credit
© UNHCR/Chris Melzer