Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNDP yaongoza kwa mfano na mkakati wa umeme jua nchini Tanzania

UNDP yaongoza kwa mfano na mkakati wa umeme jua nchini Tanzania

Pakua

Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP nchini Tanzania leo limezindua mfumo wa umeme jua uliofungwa katika ofisi zake, maeneo ya Oyster bay, jijini Dar es Salaam, ukizalisha megawati 187 kwa mwaka.

Audio Credit
Grace Kaneiya/Hamisi Mwinyimvua/ Leyla N’Doman
Audio Duration
1'45"
Photo Credit
ILO/Marcel Crozet