Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto wachanga wengi wanayonyeshwa katika nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi zilizoendelea-UNICEF

Watoto wachanga wengi wanayonyeshwa katika nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi zilizoendelea-UNICEF

Pakua

Sera zilizo Rafiki kwa masuala ya familia ni muhimu katika kuhakikisha idadi ya Watoto wachanga wanaonyonyeshwa katika miei sita ya mwanzo ya maisha yao inaongezeka kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Arnold Kayanda
Audio Duration
2'35"
Photo Credit
UN