30 Julai 2019

30 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Janga la usafirishaji haramu wa binadamu ni la dunia nzima likiathiri zaidi wanawake, wasichana na watoto umesema Umoja wa Mataifa ukitaka hatua zaidi zichukuliwe kuukomesha

-Ebola bado ni mtihani mkubwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, UNICEF yahitaji fedha zaidi kuweza kuwanusuru watoto ambao ni miongoni mwa waathirika wakubwa wa ugonjwa huo

-Nchini Burkina Fasso mradi wa magugumaji wa bingwa kijana wa kulinda maslahi ya dunia waleta nuru kwake, na jamii nzima ukizalisha nishati na mbolea kwa wote

-Makala yetu leo inatupeleka Tanzania kuangazia mchango wa WILAC katika kutetea maslahi ya wanawake 

-Na mashinani tuko Shangai China utamsikia mwalimu kutoka Kenya anavyochagiza wanafunzi kukumbatia malengo ya maendeleo SDG's

Audio Credit:
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration:
15'6"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud