Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

MINUSMA ipo Mali kuhakikisha kwamba amani inapatikana- Gyllensporre

MINUSMA ipo Mali kuhakikisha kwamba amani inapatikana- Gyllensporre

Pakua

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Mali, MINUSMA ni muhimu sio tu kwa ajili ya taifa hilo lililopo ukanda wa Sahel au Umoja wa Mataifa bali pia kwa ajili mataifa mengi na hilo dhahiri kwa kuzingatia kuwa takriban nchi 54 zimekuja pamoja kuhakikisha kwamba zinaleta mabadiliko chanya nchini humo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Sauti
2'17"
Photo Credit
Marco Dormino