25 Julai 2019

25 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Shirika la chakula na kilimo FAO yaonya juu ya mlipuko wa nzige wa jangwani nchini Yemen na Pembe ya Afrika, lataka hatua zichukuliwe

-Mradi wa shirika la kuhudumia watoto UNICEF wasaidia kutokomeza utapiamlo kwenye jimbo la Somali nchini Ethiopia

-Saratani ni tishio pia kwa wanyama, sasa shirika la nguvu za atomic IAEA latoa muongozo kuhusu uchunguzi na tiba kwa wanyama

-Makala leo inatupeleka Uganda kuangazia nishati mbadala kwa ajili ya kulinda mazingira na kuinua uchumi

-Na mashinani tunabisha hodi shule ya sekondari ya Mwigo mkoani Mbeya Tanzania kumulika hulka ya waalimu kuwataka wanafunzi kimapenzi na hatua zilizochukuliwa

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
11'39"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud