Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Njaa na utapiamlo bado ni changamoto duniani:FAO

Njaa na utapiamlo bado ni changamoto duniani:FAO

Pakua

Ukaguzi wa kina kuhusu wajibu ya FAO katika kupaambana na njaa na utapiamlo tangu mwaka 2012 na  utafiti kuhusu changamoto kwa ajenda hii ya mwongo mmoja uanaokuja utafanyika katika kituo cha FAO cha Sheikh Zayed tarehe Ijumaa yatehe 26 mwezi huu wa Julai. 

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'16"
Photo Credit
WFP/Sébastien Rieussec