Biashara ya hewa ukaa ni nuru kwa mazingira na wakazi wa Pwani ya Kenya:UNEP
Pakua
Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UN Environment, halmashauri ya misitu Kenya na taasisi ya utafiti ya viumbe baharí na samaki Kenya na wadau hivi karibuni wamezindua mradi katika pwani ya Kenya kwa ajili ya kukuza biashara ya hewa ya mkaa kufuatia uhifadhi na upanzi wa mikoko.
Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'30"