Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 Julai 2019

24 Julai 2019

Pakua

Katika Jarida la Habari hii leo arnold Kayanda anakuletea 

-Mikoko yaleta nuru kwa wakazi wa Pwani ya kenya licha ya kuhifadhi mazingira kwa kupunguza hewa ukaa yawaletea kipato wananchi kwa mujibu wa UN Environment

-Vijana nchini Tanzania wakumbatia mabadiliko ya kuachana na matumizi ya mifuko ya plastiki na kujipatia kipato kwa kutengeneza mifuko mbadala ya karatasi

-Elimu katika shule 25 nchini Kenya yapigwa jeki na mradi wa UNICEF wa  vitabu mtandaoni na matumizi ya Ipad

-Makala yetu ya vijana leo inatupeleka Kenya kusikia changamoto ya afya ya uzazi miongoni mwa vijana kutoka kwa asasi ya NAYA

-Na mashinani leo utamsikia Augustine mkimbizi toka Rwanda aliyerejea nyumbani baada ya kuishi ukimbizini Congo DRC na sasa anawaasa wakimbizi wengine kurudi nyumbani 

Audio Credit
UN News/ Arnold Kayanda
Audio Duration
13'35"