Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana vijijini wahitaji msaada wa watunga sera:IFAD

Vijana vijijini wahitaji msaada wa watunga sera:IFAD

Pakua

Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD umesema sera bora na uwekevaji vinahitajika haraka ili nchi maskini ziweze kupatia mustakabali bora mamilioni ya vijana wao maskini wanaoishi vijijini.

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
IRIN/Mohamed Amin Jibril