Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tuanowamba msaada sasa ndio wamechangia katika hali inayotukabili sasa Msumbiji

Tuanowamba msaada sasa ndio wamechangia katika hali inayotukabili sasa Msumbiji

Pakua

Miezi minne baada ya vimbunga viwili kikubwa kuipiga Msumbiji, WFP inadhihirisha kuwa gharama za mabadiliko ya tabianchi ni mbaya. Tathimini ya chakula ya hivi karibuni inaonesha kuwa watu milioni 1.6 wako hatarini kukosa chakula angalau kufikia mwezi septemba mwaka huu wa 2019. Hata hivyo WFP inajaribu kupambana na kupitia video yake mpya, shirika hilo linaonesha hali halisi ili kuwachagiza wadau kunyoosha mkono na kusaidia.

Audio Credit
Arnold Kayanda/Assumpta Massoi
Sauti
2'55"
Photo Credit
UNICEF/Prinsloo