Katika Jarifda la Habari hii leo assumpta Massoi anakuletea
- Jukwaa la ngazi ya juu la kisiasa kuhusu tathimini ya malengo ya maendeleo endelevu linaendela kwenye Umoja wa Mataifa na sauti ya vijana vimetajwa kuwa muhimu kusongesha ajenda ya 2030
-Wakizimbi zaidi ya 2000 wakata shauri kuondoka kambini Dadaab Kenya na kurejea nyumbani Somalia
-Huko Sudan Kusini mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani unasema ukatili wa kingono bado ni jinamizi linaloendelea kuwaghubika wanawake
-Makala inamulika vijana na mradi wa Youth livelihood nchini Uganda
-Mashinani utamsikia kijana kutoka asasi ya Umoja wa Mataifa UNA nchini Tanzania akitoa maoni kwa viongozi kuwapa vijana sauti na fursa katika jamii