16 Julai 2019

16 Julai 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Jukwaa la ngazi ya juu la ngazi ya mawaziri kuhusu tathimini ya SDGs na UN inasema bila usawa na ujumuishi ni mtihani kufikia malengo hayo

-Afrika Kusini yaibuka ‘kidedea’ katika kupunguza maambukizi mapya ya VVU kwa mujibu wa ripoti ya UNAIDS

-UNHCR kwa shirikiala na shirika la hisani la Yorkshire Uingereza watoa fursa mpya kwa wakimbizi na waomba hifadhi nchini humo

-Makala leo inatupeleka Uganda kumulika wanawake wanahabari na mchango wao katika jamii

-Na mashinani utamsikia mmoja wa washiriki wa mkutano wa SDGs unaoendelea hapa kwenye Umoja wa Mataifa

Audio Credit:
UN News /Assumpta Massoi
Audio Duration:
12'27"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud