Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bi Gambia atoa wito watoto waathirika wa mizozo walindwe

Bi Gambia atoa wito watoto waathirika wa mizozo walindwe

Pakua

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya watoto na migogoro ya silaha Bi Virginia Gamba yuko ziarani nchini Mali na ametembelea mji wa Mopti kujadiliana na wadau kuhusu masuala yanayohusiana na watoto walioathiriwa na mgogoro.

Audio Credit
Flora Nducha/ Patrick Newman
Audio Duration
2'40"
Photo Credit
UNICEF/Ashley Gilbertson