Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kituo kipya Kodok nchini Sudan Kusini ni ishara ya nuru gizani

Kituo kipya Kodok nchini Sudan Kusini ni ishara ya nuru gizani

Pakua

Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan kusini UNMISS umezindua rasmi kituo chake kipya kwenye eneo la Nile Magharibi  kwa lengo la kuchagiza na kusaidia juhudi za ujenzi wa amani na kuvutia wahudumu wa masuala ya kibinadamu.

Audio Credit
Flora Nducha/ John Kibego
Audio Duration
2'15"
Photo Credit
UNIFEED video screen shot