Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua za kulinda wanawake dhidi ya ukatilia ziko njia sahihi DRC

Hatua za kulinda wanawake dhidi ya ukatilia ziko njia sahihi DRC

Pakua

Mkutano  wa Kamati ya watalaam wa Baraza la Haki za Binadamu kuhusu ukomezaji wa mifumo yote ya kibaguzi dhidi ya wanawake CEDAW, unaendelea jijini Geneva Uswisi ambapo viongozi kutoka nchi mbalimbali wanajadili mikakati ya kutokomeza mifumo kandamizi kwa wanawake duniani kote. Leo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC imeelezea jinsi wanawake walivyopiga hatua.

Audio Credit
Flora Nducha/ Anold Kayanda
Audio Duration
1'55"
Photo Credit
Photo: IRIN/Mujahid Safodien