Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ufahamu ukweli kuhusu ugonjwa wa kifafa.

Ufahamu ukweli kuhusu ugonjwa wa kifafa.

Pakua

Utafiti unaonesha kuwa katika vijana 1000 walioko katika rika la umri wa miaka 20 hadi 29, kumi kati yao wanaathirika zaidi na kifafa, lakini vipi kuhusu makundi mengine ya rika?

Je unafahamu kuwa kuna aina mbalimbali za kifafa?

Na Je ugonjwa wa kifafa unatibika?

Daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo Juma Magogo Mzimbiri katika mahojiano na Arnold Kayanda, anatoa majibu ya maswali hayo pamoja na ufafanuzi mwingine kuhusu ugonjwa huo ambapo tafiti za shirika la afya duniani zinasema takriban watu milioni 50 kote duniani wanaishi na ugonjwa huo unaotokana na athari katika mfumo wa umeme wa ubongo. 

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
6'25"
Photo Credit
UN News Video Screen Capture