Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatma ya wananchi Venezuela iko mikononi mwa mamlaka-Bachelet

Hatma ya wananchi Venezuela iko mikononi mwa mamlaka-Bachelet

Pakua

Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet amesema hali ya haki za binadamu nchini Venezuela imegubikwa na wingu zito akisema mustakabali wa taifa hilo uko mikononi mwa utayari wa mamlaka kuweka mbele maslahi ya wananchi wake.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Arnold Kayanda
Audio Duration
2'42"
Photo Credit
ILO/M. Creuset