Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Manusura wa boti iliyozama Mediterrenea wafunguka

Manusura wa boti iliyozama Mediterrenea wafunguka

Pakua

Zaidi ya wahamiaji 80, miongoni mwao wanawake na watoto yasadikiwa kuwa walizama wiki hii baada ya boti walimokuwa wakisafiria kuzama kwenye bahari ya Mediteranea, nje kidogo ya pwani ya Tunisia. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/John Kibego
Audio Duration
1'40"
Photo Credit
UNHCR/Giuseppe Carotenuto