Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bethlehemu alipozaliwa Yesu parejeshewa ubora wake:UNESCO

Bethlehemu alipozaliwa Yesu parejeshewa ubora wake:UNESCO

Pakua

Kamati ya  urithi wa dunia inayokutana mjini Baku, Azerbaijan tangu Juni 30 Mwaka huu, hii leo imeamua kuliondoa katika maeneo ya urithi wa dunia  yaliyo katika hatari, Kanisa la mwanzo ambako inasadikiwa alizaliwa Yesu huko mji wa Palestina, wa Bethlehem  ulio kusini mwa Yerusalem.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
1'30"
Photo Credit
UNRWA/Marwan Baghdadi