Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi zaidi ya milioni wapaswa kuhamisha ifikapo 2020:UNHCR

Wakimbizi zaidi ya milioni wapaswa kuhamisha ifikapo 2020:UNHCR

Pakua

Kwa mujibu wa makadirio mapya yaliyozinduliwa hii leo Julai Mosi mjini Geneva Uswisi, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema zaidi ya wakimbizi milioni 1.44 ambao kwa sasa wanaishi katika nchi 60 watahitaji kuhamishwa ifikapo mwaka 2020.

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
1'25"
Photo Credit
© UNHCR/Duniya Aslam Khan