01 Julai 2019

1 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Ongezeko la joto kuwa kikwazo kikubwa katika utendaji kazi ifikapo mwaka 2030 laonya leo shirika la kazi Duniani ILO.

-Zaidi ya wakimbizi milioni 1.4 watahitaji kuwamishwa ifikapo mwaka 2020 lasema shirika la wakimbizi duniani UNHCR

-Mwanaharakati wa mSDG's asema wanasaidia kunakusudia kuyapandisha malengo ya maendeleo endelevu hadi kwenye  kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania

-Makala yetu leo inatuopeleka Kenya katika masuala ya mazingira ambako DKt Aghan Oscar mfanya biashara ambaye amebadili mtazamo wa jamii katika matumizi ya taka kwa ajili ya manufaa ya vifaa vya ujenzi

-Na mashinani tuko Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR utamsikia mlinda amani toka Zambia na wenzie wakiwafunza wanawake ujasiriamali na kilimo ili kuondokana na umasikini

Audio Credit:
UN News/Flora Nducha
Audio Duration:
12'25"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud