24 Juni 2019

24 Juni 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Baraza la Haki za binadam laanza geneva kamishina Mkuu Michelle Bachelet ataka Cameroon tambueni wapinzani kama wadau wa  mchakato wa amani

-Balozi mwema mpya wa UNHCR Mercy Masika asema atatumia kipaji chake kukirimu wakimbizi Kenya na kwingineko

-Kuwasaidia wakimbizi na wenyeji wao, ni njia nzuri ya kuwahudumia watu waliotawanywa Uganda yasema Benki ya Dunia

-Makala yetu leo inatupeleka Ethiopia ambako mradi wa umwagiliaji wa shirika la maendeleo ya kilimo IFAD waleta nuru kwa wakulima dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

-Mashinani tuko DRC utamsikia mlinda amani kutoka Tanzania akizungumzia mchango wao.

Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
10'50"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud