Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Benki ya Dunia na Uganda zashirikiana kuokoa eneo oevu la Mabamba

Benki ya Dunia na Uganda zashirikiana kuokoa eneo oevu la Mabamba

Pakua

Maeneo oevu ni maeneo yenye bayonuai ya kipekee ya maji, mimea na viumbe na ambapo zaidi ya uzuri wake, yana manufaa ya kiuchumi na kijamii.

Hata hivyo Benki ya Dunia inasema kuwa maeneo haya yanazidi kukumbwa na zahma kutokana na matumizi yake ya asili kupokwa na shughuli za binadamu kama vile kilimo na uvuvi usio endelevu. Mathalani nchini Uganda, eneo oevu la Mabamba nalo liko hatarini na sasa hatua zinachukuliwa kulihifadhi.

Je ni zipi hizo, Assumpta Massoi anasimulia kwenye makala hii.

 

 

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Patrick Newman
Audio Duration
4'7"
Photo Credit
Arne Hoel/World Bank