Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wenye ulemavu wanastahili kujumuishwa pia:Riziki

Watu wenye ulemavu wanastahili kujumuishwa pia:Riziki

Pakua

Mkutano wa 12 wa nchi wanachama wa mkataba wa haki za watu wenye ulemavu, CRPD, ukiingia wiki yake ya pili hii leo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, wadau wanaendelea kujadili mikakati mbalimbali ya kuhakikisha ahadi ya kutomwacha yeyote nyuma inatekelezwa. 

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Sauti
3'5"
Photo Credit
UNICEF/Rebecca Vassie