13 Juni 2019

13 Juni 2019

Miongoni wa Habari za zinazoletwa kwako na arnold Kayanda katika jarida la leo ni 

-Siku ya kimataifa ya uelimishaji dhidi ya ukatili kwa watu wenye ulemavu wa ngozi, utamsikia mwanamuziki Lazarus kutoka Malawi mlemavu wa ngozi ambaye sasa maisha yake yamebadilika

-Juhudi zinaendelea Uganda kukabiliana na mlipuko wa Ebola, ambao tayari umeshakatili maisha ya watu wawili na watu 17 wanachunguzwa huku UNICEF ikijizatiti kunusuru watoto

-Waathirika wa ukatili wa kingono na kijinsia nchini Jamhuri ya Congo DRC wanafaika na mitadi ya Umoja wa Mataifa

-Katika makala leo tunaye Seneta Isaac Mwaura kutoka Kenya tukijadili masuala ya watu wenye ulemavu wa ngozi na juhudi za kuwalinda

-Mashinani tunabisha hodi Malawi  utamsikia mama aliyeolewa na mtu mwenye ulemavu wa ngozi akizungumzia changamoto zinazomkabili katika jamii

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
11'50"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud